Machafuko yanayoendelea jimboni Kivu ya Kaskazini kufuatia mapigano baina ya jeshi na waasi wa M23 yamesababisha kupanda kwa bei ya vyakula mjini Bukavu,mji mkuu wa jimbo la Kivu ya Kusini. Mwandishi wetu Mitima Dela Chance alitembelea bandari ya Bukavu amabyo ni soko kuu ya chakula kutoka Goma.