1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya madawa ya kulevya Tanzania vitaishia wapi?

Jenerali Ulimwengu/Mohammed Abdulrahman Mohammed13 Februari 2017

Wakati Tanzania ikionekana iko kwenye vita vikubwa dhidi ya madawa ya kulevya, mwandishi wa habari mkongwe nchini humo, Jenerali Ulimwengu, anasema hakuna jipya la kuwashangaza watu

https://p.dw.com/p/2XUel