1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vipigo kwa wakimbizi Lesbos

Daniel Gakuba
12 Machi 2020

Mgogoro mpya wa wakimbizi unaobisha hodi kwenye mpaka wa Umoja wa Ulaya umeleta hali ya wasiwasi mkubwa kwenye mpaka wa Ugiriki na Uturuki. Mzozo huu wa sasa unahusisha visa vya ghasia ambavyo vinaongozwa na makundi ya wafuasi wa sera kali za mrengo wa kulia. Ni hali hiyo tunayoiangazia katika makala ya Mwangaza wa Ulaya na Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/3ZGrX