1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa upinzani Tanzania wafikishwa mahakamani

3 Aprili 2018

Viongozi 6 waandamizi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania waliokuwa wakishikiliwa rumande kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya serikali wamefikishwa tena mahakamani ili kusikilizwa ombi lao la kupewa dhamana. Isaac Gamba amezungumza na msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene.

https://p.dw.com/p/2vP3e