1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa serikali watuhumiwa kwa udhalilishaji Zanzibar

Salma Said(HON)29 Julai 2021

Mapambano dhidi ya udhalilishaji yamechukua hatua nyengine baada ya Rais wa Zanzibar kuambiwa kuwa miongoni mwa wateule wake ni watu ambao wanajishirikisha katika vitendo vya udhalilishaji ambavyo vimekuwa ni kilio kikubwa kwa hivi sasa kutoka kwa wananchi. Sikiliza ripoti ya Salma Said.

https://p.dw.com/p/3yF7p