Viongozi wa Kiafrika wampongeza Kabila kwa ushindi
Mohammed Abdul-Rahman17 Desemba 2011
Kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, uchaguzi wa Bunge wa Misri na mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya Maziwa Makuu mjini Kampala ni miongoni mwa mada za Afrika Wiki Hii.
https://p.dw.com/p/13Uk1
Matangazo
Fuatana na Mohammed Abdulrahman kuliangazia bara la Afrika na matukio yaliyojiri barani humo kwa juma zima (12.12 - 16.12.2011) katika makala hii ya Afrika Wiki Hii kutoka Deutsche Welle, Bonn.