1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Afrika wakubaliana juu ya halibora ya wakimbizi

12 Februari 2019

Mkutano wa siku mbili wa Umoja wa Afrika umekamilika hapo jana mjini Addis Ababa nchini Ethiopia, azimio muhimu lililofikiwa likiwa kuhakikisha nchi za bara la Afrika ziunde sera za kuwawezesha wakimbizi na watu waliolazimika kuyahama makazi yao, wapate maisha bora na huduma bora katika nchi ambazo wanaishi.

https://p.dw.com/p/3DC95