1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wengi Tanzania sasa wageukia siasa, kwanini?

Khelef Mohammed Mohammed11 Agosti 2020

Tanzania inaingia kwenye uchaguzi wake mwengine wa vyama vingi mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, na safari hii idadi ya vijana walioonyesha nia imekuwa kubwa kuliko kwenye chaguzi zilizotangulia. Maslahi binafsi ya kipato? Dhamira ya kubadili mfumo wa utawala wa taifa lao? Kwenye Kinagaubaga wiki hii, Mohammed Khelef anazungumza na mmoja wa vijana hao, Dhamir Ramadhan.

https://p.dw.com/p/3gmkl