1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanavyokabiliana na janga la corona

Jacob Safari Bomani/MMT8 Oktoba 2020

Ni wakati mwingine wa kusikia mtizamo wako kijana katika Vijana Mubashara 77 asilimia na leo tunakuuliza ni kwa jinsi gani wewe kijana unaweza kusaidia na kutoa mchango wakati wa majanga kama kipindi hiki ambacho dunia inakabiliwa na janga la corona?

https://p.dw.com/p/3jcbQ