1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na malengo waliyojiwekea 2021 na kipi cha kubadili 2022

30 Desemba 2021

https://p.dw.com/p/4503i

Katika Vijana Mubashara Amina Abubakar anataka kufahamu hasa ni kitu gani kilichokenda sawa na kipi kilikwenda kombo kwa mwaka 2021? Na je ungependa kubadilisha chochote kati ya mambo hayo unapoingia mwaka 2022. Ungana na vijana mbalimbali wakielezea kwa undani zaidi.