1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Mubashara: Yupi mwenye umuhimu zaidi kwako, Mama au mpoenzi wako?

20 Aprili 2023

Katika Vijana Mubashara wiki hii tunakuuliza, je, kati ya mama na mpenzi wako, ni yupi aliye na umuhimu zaidi kwako? Msikilize Jacob Safari akijadiliana na vijana kuhusiana na hili katika Sabini na saba asilimia.

https://p.dw.com/p/4QM3P