1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Mubashara: Kwanini wanawake hulaumiwa kwa ugumba?

Sylvia Mwehozi
7 Julai 2022

Kwanini jamii nyingi zinamwangushia lawama mwanamke katika suala la kukosa watoto katika ndoa? Je ni mila, dhana potofu au ukosefu wa elimu? Hili ndio swali linalotafutiwa majibu katika makala ya Vijana Mubashara -77 asilimia. Mwongozaji ni Sylvia Mwehozi

https://p.dw.com/p/4DofF