1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Vijana Mchakamchaka: Nidhamu ya kufanya mazoezi

29 Januari 2024

Mazoezi yana faida lukuki ikiwemo afya bora na ujenzi wa mwili. Hata hivyo, kuna baadhi ya vijana ambao hufanya mazoezi kwa nia tu ya kutaka kusifiwa au kupata umaarufu mitandaoni. Je, lengo lako hasa la kuingia "gym" ni lipi? Nahodha wako katika makala ya Vijana Mchakamchaka ni Amina Abubakar.

https://p.dw.com/p/4bnSP