1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Mchakamchaka- Je, vijana wanazeeka wakiwa wadogo?

Bruce Alakonya29 Agosti 2022

Katika Makala ya Vijana Mchakamchaka, Bruce Amani anaangazia tabia ya vijana kufanya vitu vilivyowazidi umri wao. Je, nini kinasababisha vijana wa rika la baleghe kukua haraka katika maisha ya sasa kuliko vizazi vilivyopita?

https://p.dw.com/p/4GBPx