1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzinduzi wa Kampeni za chama cha CUF

7 Septemba 2020

Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania kimezindua kampeni za mgombea urais kitaifa mkoani Mtwara huku kikijinasibu kufufua mpango wa ukanda wa maendeleo wa kusini. Vidio na Salma Mkalibala.

https://p.dw.com/p/3i9Yg