JamiiUvutaji shisha: Ni uraibu usio na madhara au dawa zenye hatari?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi11.09.201811 Septemba 2018Kuna dhana ambayo imejengeka kwamba uvutaji shisha hauna madhara lakini wataalamu wa kiafya wanasema wavutaji shisha wapo katika hatari kubwa. Hatari hiyo ni pamoja na magonjwa ya saratani na magonjwa ya kuambukiza. Vijana Mubashara. https://p.dw.com/p/34gp7Matangazo