1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utumiaji wa roboti katika Olimpiki ya majira ya baridi Beijing

9 Februari 2022

Katika makala ya Sema Uvume wiki hii Sylvia Mwehozi anaangazia michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inayofanyika huko Beijing China akitazama jinsi teknolojia ilivyochukua kasi. Hapa utaskia Apps zinazotumika, maroboti na vifaa vingine. Bila kusahau sakata la mtandao wa kusikiliza muziki wa Spotify.

https://p.dw.com/p/46jrr