1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utawala wa Biden utainufaisha vipi Ulaya?

11 Novemba 2020

Viongozi wengi wa Ulaya wanatumai Joe Biden atasaidia kurekebisha mahusiano ya mataifa ya kanda ya Atlantiki. Lakini baadhi wanasema hata kama atakuwa mshirika mwepesi zaidi kuliko mtangulizi wake alieonesha chuki ya wazi wazi dhidi ya Ulaya, Ulaya isitarajie mwanzo wa zama mpya kwa uhusiano wa Atlantiki chini ya Joe Biden. Sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3l9Ih