Je, unadhani kuna tafauti baina ya neno 'lipuka' na 'ripuka'? Na hasa lipi ambalo ni sahihi kati ya mawili hayo? Sehemu hii ya Kiswahili Kina Wenyewe inachambua maneno kadhaa yenye utata kwenye lugha ya Kiswahili.
https://p.dw.com/p/1BXrB
Matangazo
Wataalamu wa lugha ya Kiswahili kutoka vyuo vikuu vya Afrika ya Mashariki na Ulaya wanajadili baadhi ya maneno, uundikaji na maana zake.
Tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini