1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usafi wa Mazingira: Siku moja, sayari moja, lengo moja

11 Septemba 2018

Kila tarehe 15 ya mwezi wa tisa, ni siku ya usafi wa mazingira kimataifa. Kauli mbiu kwa mwaka huu ni "Siku moja, Sayari moja na Lengo moja. Mwaka huu watu kutoka mataifa 150 watashiriki zoezi hili, ikiwa rekodi ya juu kabisa tangu kuanzishwa kwa jitihada hii miaka 10 iliyopita. Sudi Mnette anazungumza na kaimu Mrugenzi wa mamlaka ya hifadhi ya mazingira Tanzania NEMC, Dk Vedast Makota.

https://p.dw.com/p/34f9i