1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Urithi wa Draghi katika Benki Kuu ya Ulaya

30 Oktoba 2019

Mario Draghi amehitimisha muhula wake wa miaka minane kama rais wa benki kuu ya Ulaya ECB, akisema kanda ya sarafu ya Euro iko katika nafasi bora hivi sasa kuliko ilivyokuwa wakati mgogoro wa kifedha wa Ugiriki ulipotishia kuisambaratisha. Makala hii ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii inaangazia kwa mukhtasari urithi wa Draghi katika taasisi hiyo muhimu ya Ulaya.

https://p.dw.com/p/3SCHU