1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani nchini Kenya unaelekea wapi?

Sudi Mnette18 Juni 2020

Chama tawala cha Jubilee nchini Kenya, kimevikaribisha vyama viwili vya upinzani vya Wiper and Chama Cha Mashinani (CCM), hatua inayoonekana kumpa nguvu zaidi bungeni Rais Uhuru Kenyatta bungeni anaefikiria kuibadilisha katiba. Je, upinzani una nafasi gani nchini humo kwa hali iliyojitokeza sasa?

https://p.dw.com/p/3e0Pr