1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Rwanda waunda serikali uhamishoni

Mohammed Abdulrahman Mohammed18 Aprili 2017

Vyama vya upinzani vinaruhusiwa Rwanda lakini wapinzani wanasema serikali haitoi nafasi kwa upinzani kuendesha shughuli zake kwa uhuru. Wawakilishi 30 wa vyama vya upinzani wakiwemo wajumbe wa jumuiya za kiraia na wanaharakati wa kijitegemea wameunda serikali ya Rwanda uhamishoni, ikiwa na makao makuu Paris, Ufaransa. Kinagaubaga imezungumza na Abdulla Akishuli, Waziri Mkuu wa serikali hiyo.

https://p.dw.com/p/2bNHv