1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upanuzi wa mgodi wa dhahabu wa North Mara waibua malalamiko

Dotto Bulendu20 Januari 2023

Huko Mara nchini Tanzania,upanuzi wa mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na serikali na kampuni ya Barrick ya Canada umeibua malalamiko kuhusu fidia kwa wakaazi wanaotakiwa kuhama. Upanuzi huo unafuatia marekebisho ya sheria yaliyofaywa na serikali ya nchi hiyo, kutanua mipaka ya mgodi huo kwa kuziondoa baadhi ya familia zinazoishi pembezoni mwa eneo lake. Dotto Bulendu alituarifu.

https://p.dw.com/p/4MVZw