1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unawezaje kubadili mawazo yako kutoka hasi na kuwa chanya?

20 Februari 2023

Kuwa na mawazo chanya kuna jukumu kubwa katika maisha yako kiafya, kisaikolojia na kimwili. unapokuwa na mawazo chanya inakuwa rahisi kuondokana na misongo ya mawazo ambayo mara nyingi hudhoofisha afya yako na kukupokonya wewe nafasi ya kuwa na furaha. Zaidi sikiliza Makala hii ya Afya Yako, mtayarishaji ni Amina Abubakar.

https://p.dw.com/p/4NVpw