1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa ardhi oevu Tanzania

30 Januari 2025

Ni maeneo ambayo hufunikwa na maji kwa  kipindi chote cha mwaka, bila kujalisha mabadiliko ya misimu ya hali ya hewa. Maji katika maeneo ya ardhi oevu, huweza kuwa ya chumvi, maji baridi au mchanganyiko wa maji baridi na chumvi. Lakini umuhimu wake ni upi?

https://p.dw.com/p/4ppKm