1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulemavu usiwe kikwazo kwa ufanisi wako

1 Julai 2021

Sawa na wanafunzi wengine katika taasisi hii ya elimu ya juu, wanafunzi wanaoishi na ulemavu pia wapo na wanafanya vizuri katika masomo. Ushauri kwa wengine ni kwamba ulemavu si kisiki kwa ufanisi wa mtu katika kutimiza kile akitakacho. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3vtta