1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulaya yakubaliana wa kugawana wahamiaji

25 Septemba 2019

Baada ya miaka minne ya mabishano kuhusu sera ya uhamiaji ya Umoja wa Ulaya, mataifa manne yalikubaliana kuhusu mfumo wa muda wa kugawana wahamiaji wanaovuka bahari ya Mediterrania kuingia Ulaya, ambao utajadiliwa na mataifa yote ya Umoja wa Ulaya mwezi ujao.

https://p.dw.com/p/3QDep