1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukunga wa jadi na athari kwa wajawazito

21 Februari 2022

Isikilize makala ya Afya Yako ambayo leo imeandaliwa na mwandishi wa DW kutoka Kigoma, Prosper Kwigize, ambapo leo anaangazia mada muhimu ya ukunga wa jadi ambao bado unaendelea hadi sasa na athari zake kwa wanawake wajawazito. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/47L5h