1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukosefu wa usingizi unachangiaje matatatizo ya moyo?

Zainab Aziz3 Juni 2021

Je ni mambo gani hasa yanayosababisha ukosefu wa usingizi hali inayoweza kuleta madhara katika afya zetu? Uchunguzi wa muda mrefu waliofanyiwa watu wapatao 8000 umebainisha kwamba ukosefu wa usingi au usumbufu katika kupata usingizi kunahusiana na matatizo ya moyo na hivyo pana uwezekano mkubwa wa mtu kupata kiarusi na kupoteza maisha.

https://p.dw.com/p/3uNfd