1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukeketaji wapigwa teke Kajiado nchini Kenya

Shisia Wasilwa
19 Agosti 2021

Kwenye Makala hii ya Utamaduni na Sanaa,tunaangazia juhudi za kupigwa vita utamaduni wa ukeketaji. Jamii ya Wamaasai nchini Kenya sasa wanaiasi na kukumbatia ukeketaji mbadala ambao sio lazimamsichana akeketwe. Mwandishi wetu Shisia Wasilwa alihudhuria sherehe hiyo katika jimbo la Kajiado nchini Kenya na kugundua kuwa kuna uhusiano kati ya mabadiliko ya tabianchi na mila potovu kama ukeketaji.

https://p.dw.com/p/3zBYq