1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukame barani Ulaya

3 Agosti 2022

Katika makala ya Mwangaza wa Ulaya tunaangazia janga la ukame linaloziandama nchi nyingi wanachama wa Umoja wa Ulaya pamoja na Uingereza, ambao umekithiri kuanzia mwezi uliopita wa Julai. Hali hii imeathiri pakubwa sekta nyingi za uchumi, hususan kilimo. Isikilize makala hii iliyoandaliwa na Daniel Gakuba akiwa mjini Bonn.

https://p.dw.com/p/4F4bU