Makala yetu leo inamulika kauli iliyotolewa hivi karibuni na rais wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan kwamba anakusudia kuwateua viongozi wenye weledi na uadilifu bila kujali itikadi za vyama. Je utaratibu huo unaweza kuwa na tija gani katika ujenzi wa maendeleo ya nchi? Aliyeiandaa ni Sylvia Mwehozi