1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yatiwa moyo na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

28 Januari 2019

Naibu Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania anasema nchi yake inafurahishwa na hatua kubwa zinazopigwa kwenye suala la matibabu ya matatizo ya moyo yanayofanywa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kurunzi 28.01.2019

https://p.dw.com/p/3CJJZ