1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhakiki na uandikishaji wapiga kura wakamilika Tanzania

6 Mei 2020

Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imesema imekamilisha zoezi la uhakiki na uandikishaji wapiga kura katika mikoa yote, huku wengi wakitumia njia ya teknolojia katika kufanikisha zoezi hilo la kikatiba ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona. Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/3bqfm