1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa Maji katika mbuga ya Tsavo

Faiz Musa Abdallah/MMT3 Mei 2019

Uhaba wa maji unaozikumba mbuga za wanyama pori za Tsavo zilizoko katika kaunti ya Taita Taveta unavuruga maisha ya wanyama hao ambao ni kivutio kikubwa cha utalii nchini Kenya. Wanyama hao wanalazimika kutoka maporini kutafuta maji katika makaazi ya watu. Sikiliza hapa.

https://p.dw.com/p/3HtRY