JamiiAfrikaUhaba wa mafuta ya kupikia Tanzania unatatiza maishaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaHawa Bihoga28.01.202128 Januari 2021Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya uhaba wa mafuta ya kupikia tangu mwishoni mwa mwaka jana. Viwanda vingi vya ndani ya nchi vimesitisha uzalishaji wa mafuta hayo kutokana na ukosefu wa mali ghafi. Tatizo liko wapi?https://p.dw.com/p/3oWZbMatangazo