1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa madini joto mwilini

16 Februari 2018

Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wenye ukosefu wa madini joto mwilini yaani "iodine" na ambao wanajaribu kubeba ujauzito wana nafasi ndogo ya kutunga mimba ukilinganisha na wanawake walio na madini joto ya kutosha.

https://p.dw.com/p/2soR1
Vidonge vya iodine
Picha: picture-alliance/dpa/Hannibal

Afya Yako: Uhaba wa madini joto mwilini