Uhaba mkubwa wa chakula Pembe ya Afrika
6 Julai 2011Matangazo
Sudi Mnette anahakiki sababu za njaa katika maeneo ya Mashariki na Pembe ya Afrika, ambako wakulima na wafugaji wanalalamika kwamba ukosefu wa mvua kwa kipindi kirefu sasa umesababisha ukame na kuliingiza eneo hilo kwenye janga kubwa la njaa.
Mtayarishaji: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji