1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugonjwa wa Trakoma waongezeka Kajiado, Kenya

Shisia Wasilwa/MMT27 Agosti 2021

Hofu ya ugonjwa wa Trakoma unaosababisha upofu imeongezeka katika jimbo la Kajiado, Kenya. Na sababu kuu inatajwa kuwa ni uchafu na ukosefu wa maji.

https://p.dw.com/p/3zW1L