1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu ugonjwa wa macho mekundu

22 Januari 2024

Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ukiathiri kope, gololi ya jicho na hata kioo cha jicho, jambo ambalo wataalamu wanasema endapo mgonjwa asipokuwa makini anaweza kupata madhara katika uoni wake. Watu wa rika zote wanaweza kuathirika na ugonjwa huu ikiwa alieambukizwa hajachukua tahadhari ya kuwalinda wengine.

https://p.dw.com/p/4bYMy
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Malawi 2015 | Überschwemmungen - Malaria-Test
Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliancePicha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.