1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda wapokeaje hatua ya kufunguliwa mpaka na Rwanda?

Lubega Emmanuel28 Januari 2022

Baada ya serikali ya Rwanda kutangaza kwamba itaufungua mpaka wake na Uganda siku ya Jumatatu, hususan kivuko muhimu cha Katuna ambacho kilifungwa mwaka 2019 kutokana na tofauti kubwa zilizojitokeza baina ya serikali za nchi hizo mbili jirani, nchini Uganda uamuzi huo ulikaribishwa kwa hisia mseto, kama anavyoripoti mwandishi wetu wa Kampala, Lubega Emmanuel katika taarifa hii.

https://p.dw.com/p/46ExS