SiasaUganda: shule ya ukulima wa mapasheni xTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa22.12.201622 Desemba 2016Ukulima ni kazi inayofanywa zaidi na wanawake nchini Uganda. Mradi wa KadAfrica umeamua kutoa mafunzo ya miezi sita ya kumuwezesha mwanamke kuwa mkulima wa tunda la pasheni. Eric Kaduru na mke wake Rebecca ni waanzilishi wa mradi huo.https://p.dw.com/p/2UkwIMatangazo