Shule moja nchini Uganda imeongoza njia kwa kuwapa fursa mpya wasichana wa shule waliojifungua. Wasichana hao wanakwenda darasani na wanafunzi wengine, huku shule ikiajiri yaya wa kuwashughulikia watoto wao. Ni ripoti iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Kampala, Lubega Emmanuel.