1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Maagizo ya kudhibiti corona, utata

Lubega Emmanuel7 Juni 2021

Maagizo ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda ya kusitisha baadhi ya shughuli za umma kwa siku 42 ili kukabiliana na kasi ya kusambaa kwa ugonjwa wa COVID-19 yamepokelewa kwa maoni mbalimbali nchini humo. Miongoni kwa maagizo aliyotangaza jana usiku ni kufungwa kwa shule na taasisi za elimu pamoja na usafiri wa umma kutoruhusiwa kuvuuka mipaka ya wilaya. Lubega Emmanuel alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/3uWVV