1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufaransa yawawekea vizuizi waliopinga kuchanjwa

Daniel Gakuba4 Agosti 2021

Serikali ya Ufaransa itaanzisha utaratibu wa kufanya iwe vigumu kwa watu ambao hawakupigwa chanjo ya Covid-19 kufika katika baadhi ya maeneo yenye mikusanyiko ya umma. Waliochukizwa na hatua hiyo wamekuwa wakiandamana mitaani. Jibu la maafisa wa serikali, ni kuwa hakuna uhuru usio na mipaka.

https://p.dw.com/p/3yWAd