1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufaransa na mwelekeo mpya wa ushirikiano Afrika

8 Machi 2023

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron hivi majuzi alifanya ziara katika nchi nne za Afrika. Katika ziara yake hiyo, Macron alikuwa na ujumbe mmoja wa kwamba Ufaransa inataka kuendeleza uhusiano na Afrika lakini chini ya msingi mpya utakaoundwa na ushirikiano, usawa na uwajibikaji. Sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4OP2X