1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUfaransa

Ufaransa kupiga marufuku abaya katika shule za serikali

4 Septemba 2023

Ufaransa inapanga kupiga marufuku wanafunzi wa shule kuvaa Abaya. Tangazo hilo lilitolewa na waziri wa elimu Gabriel Attal. Alisema dini ya mtu haitakiwi kutambulika kwa kutazama jinsi alivyoovaa.

https://p.dw.com/p/4Vx0O