1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufanyaji kazi wa mabaraza ya watoto Tanzania

Anuary Mkama4 Januari 2016

Licha ya kuwa asilimia 44 ya idadi nzima ya raia wa Tanzania ni watoto, jamii imeshindwa kuwashirikisha ipasavyo katika masuala yanayowahusu. Makala yetu leo inaangazia changamoto na mafanikio ya mabaraza ya watoto nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/1HXl7