1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi: Ubaguzi katika sherehe za mapinduzi Zanzibar

Josephat Charo Nyiro13 Januari 2016

Gumzo limetanda Zanzibar kufuatia hatua ya vijana wa chama cha CCM kubeba bango lililokuwa na ujumbe wa kibaguzi uliosema "Machotara Zanzibar hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika", wakati wa sherehe za Mapinduzi za miaka 52 visiwani humo. Profesa Abdul Sharifu, mwanahistoria na mchambauzi wa masuala ya siasa anaeleza ujumbe huo una maana gani wakati kama huu visiwani Zanzibar?

https://p.dw.com/p/1HcLs